Melani wa RennesFrom Wikipedia, the free encyclopedia Melani wa Rennes (456 hivi – 530 hivi) alikuwa askofu wa Rennes (Ufaransa) miaka 505 - 530. Sehemu ya mchoro wa ukutani katika kanisa kuu la Rennes ikimuonyesha Mt Melani (kulia) na Amandi wa Rennes. Alishiriki mtaguso wa Orleans (511) na kuanzisha monasteri. Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 6 Novemba.[1]
Melani wa Rennes (456 hivi – 530 hivi) alikuwa askofu wa Rennes (Ufaransa) miaka 505 - 530. Sehemu ya mchoro wa ukutani katika kanisa kuu la Rennes ikimuonyesha Mt Melani (kulia) na Amandi wa Rennes. Alishiriki mtaguso wa Orleans (511) na kuanzisha monasteri. Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 6 Novemba.[1]