Mtume Simoni Mkananayo
From Wikipedia, the free encyclopedia
Simoni Mkananayo (alifariki karne ya 1) alikuwa mmojawapo kati ya Mitume wa Yesu.
Maelezo zaidi Mitume wa Yesu ...
Mitume wa Yesu |
---|
|
Funga
Maelezo zaidi Mfululizo wa kurasa juu ya Yesu, Mazingira ya Yesu ...
Funga
Ili kumtofautisha na mtume mwenzake Simoni Petro anaitwa Mkananayo, yaani Mwenye juhudi kwa ukombozi wa Israeli kutoka ukoloni wa Roma.
Jina lake linapatikana katika orodha zote za Mitume, lakini hatuna habari zake zaidi, isipokuwa masimulizi mbalimbali yasiyo na hakika.
Inasadikika kuwa kaburi lake liko Komani (Georgia).
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.