Mwamba wa Daedalus
miamba nchini Egypt / From Wikipedia, the free encyclopedia
Mwamba wa Daedalus (pia hujulikana kama Abu Kizan au Daedalus Reef) ni safu ya miamba chini ya maji yenye urefu wa mita 400 na upana wa mita 100 mbeleya mwambao wa Misri katika Bahari ya Shamu.[1][2].Kuna kisiwa kidogo katikati ya mwamba huo, ambapo kuna mnara wa taa uliojengwa mnamo mwaka 1863 na kujengwa upyaa mnamo mwaka 1931.