Al-Farouq Aminu
From Wikipedia, the free encyclopedia
Al-Farouq Ajiede Aminu (amezaliwa Septemba 21, 1990 ) ni mchezaji wa mpira wa kikapu mwenye asili ya mchanganyiko katika ya Mmarekani na Mnigeria. Al-Farouq anachezea timu ya Orlando Magic ya Chama cha taifa cha mpira wa kikapu. Kimataifa anachezea timu ya taifa Nigeria. Aminu alichaguliwa katika timu ya Los Angeles Clippers katika machaguzi ya wachezaji mnamo mwaka 2010 kama chagua la nane. Pia alifanikiwa kuzichezea timu za New Orleans, Dallas Mavericks na Portland Trail Blazers. [1]