Arey
From Wikipedia, the free encyclopedia
Arey (pia: Ariji, Aredi; Chalon-sur-Saône, 535 hivi - Gap, 1 Mei 604) alikuwa askofu wa mji huo (leo nchini Ufaransa) maarufu kwa uvumilivu mkubwa katika matatizo, kwa kupinga usimoni na kwa kupokea vizuri wamisionari waliotumwa na Papa Gregori I Uingereza [1].
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.