From Wikipedia, the free encyclopedia
Asasi ni chombo kikubwa kama vile shirika linalohusika na utoaji wa huduma kwa watu katika jamii.
Asasi zipo za aina mbalimbali; kuna asasi za kiserikali na asasi zisizo za kiserikali.
Hivi ni vyombo au mashirika mbalimbali ya kiserikali yanayojishughulisha na utoaji wa huduma katika jamii. Vyombo hivyo vinaweza kuwepo katika elimu, afya na kadhalika.
Hivi vi vyombo au mashirika mbalimbali binafsi yanayojishughulisha na utoaji wa huduma katika jamii.
Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Asasi kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.