Asubuhi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Asubuhi (kutoka Kiarabu: صباح) ni kipindi cha siku ambacho kinaleta mwanga wa kwanza wa mchana baada ya giza la usiku.
Kwa binadamu na wanyama wengi ndio wakati wa kuamka kwa kutoka usingizini ili kuanza shughuli mbalimbali.
Katika dini mbalimbali, ni wakati muhimu wa sala.
Maelezo zaidi Vipindi vya siku ...
Vipindi vya siku | |||
---|---|---|---|
Usiku • Usiku kati • Usiku wa manane • Alfajiri • Pambazuko • Asubuhi • Adhuhuri • Mchana • Alasiri • Jioni • Machweo |
Funga
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |