From Wikipedia, the free encyclopedia
Bremerhaven ni mji wa jimbo la Bremen nchini Ujerumani.
Iko mdomoni mwa mto Weser kwenye mwambao wa Bahari ya Kaskazini, na ni bandari muhimu ya Ujerumani.
Wakazi wake ni 113,634 (mwishoni mwa 2018).
Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Bremerhaven kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.