ChemchemiFrom Wikipedia, the free encyclopedia Chemchemi ni mahali ambapo maji yanatoka ardhini[1]. Chemchemi Mara nyingi chemchemi huwa Chanzo cha mto ambao hutiririsha maji yake mpaka baharini au ziwani kama mto ni mkubwa, au ndani ya mto mwingine kama mto ni mdogo[2].
Chemchemi ni mahali ambapo maji yanatoka ardhini[1]. Chemchemi Mara nyingi chemchemi huwa Chanzo cha mto ambao hutiririsha maji yake mpaka baharini au ziwani kama mto ni mkubwa, au ndani ya mto mwingine kama mto ni mdogo[2].