ChomutovFrom Wikipedia, the free encyclopedia Chomutov ni mji wa ishirini na moja kwa ukubwa nchini Ucheki wenye wakazi takriban 46,000 (2022)[1]. Kituo cha jiji kimehifadhiwa vizuri na kinalindwa na sheria kama eneo maalumu la mnara hapo mjini. Muonekano wa mji wa Chomutov kutokea kaskazini magharibi
Chomutov ni mji wa ishirini na moja kwa ukubwa nchini Ucheki wenye wakazi takriban 46,000 (2022)[1]. Kituo cha jiji kimehifadhiwa vizuri na kinalindwa na sheria kama eneo maalumu la mnara hapo mjini. Muonekano wa mji wa Chomutov kutokea kaskazini magharibi