DNA ya mitokondria
From Wikipedia, the free encyclopedia
DNA ya mitokondria (pia ADN ya mitokondria, kutoka Kiingereza Mitochondrial DNA, kifupi mtDNA au mDNA)[1] ni urithi wa jeni ambao unapatikana katika mitokondria na ni sehemu ndogo ya urithi wote wa viumbe hai.
Upekee wake ni kwamba katika binadamu na viumbe vingine vingi unatolewa na mama tu kwa watoto wake wote[2].