Dekamita
From Wikipedia, the free encyclopedia
Dekamita ni kipimo cha urefu wa sentimita 10 ambao ni sawa na mita 0.1. Kifupi chake ni dam[1].
Kipimo hicho si kawaida sana isipokuwa katika metorolojia ambapo shinikizo la hewa hutajwa mara nyingi kulingana na kimo cha dekamita.[2]
Dekamita kwa mraba ni eneo la "are" moja ambao ni mita 10x10 au m2 100.