Felisita wa RomaFrom Wikipedia, the free encyclopedia Felisita wa Roma (101 hivi - 165 hivi) alikuwa mwanamke wa Roma ya Kale anayeheshimiwa na Wakristo wa madhehebu mbalimbali kama mtakatifu mwenye sifa ya mfiadini[1]. Mt. Felisita na vichwa vya wanae saba, Nuremberg Chronicle, 1493. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 23 Novemba[2]
Felisita wa Roma (101 hivi - 165 hivi) alikuwa mwanamke wa Roma ya Kale anayeheshimiwa na Wakristo wa madhehebu mbalimbali kama mtakatifu mwenye sifa ya mfiadini[1]. Mt. Felisita na vichwa vya wanae saba, Nuremberg Chronicle, 1493. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 23 Novemba[2]