From Wikipedia, the free encyclopedia
Fortnite ni mchezo wa video ulioanzishwa na kampuni ya michezo ya video Epic Games mwaka 2017. Mchezo huu unahusu vita na umeweza kutwikwa taji kama Webby Awards, Teen Choice Awards na Game Critics Awards. Kuna vipengee viwili tofauti katika mchezo huu navyo ni
Mchezo huu huhusu mchezaji akishirikiana na wachezaji wengine kupigana na vinyama (zombie) ambavyo vimekuja duniani baada ya dhoruba kupiga dunia na kuwaua viumbe wengi, takribani asilimia 98. Wachezaji wajaribu kuwaokoa walionusurika pamoja na kujaribu kutafuta data kuhusu kilichosababisha dhoruba ile.
Fornite Battle Royale yahusu mchezaji mmoja, wawili au wengi wakipigana katika vita. Wote wasafirishwa kwa ndege bila zana za vita hadi kwa kiwanja cha vita. Hapa wafaa watafute zana za vita na pia waibuke washindi huku wakijilinda kutokana na kuuliwa na wenzao.
Fortnite Save the World ilikuwa ilijipatia wachezaji milioni moja baada ya mwezi mmoja wa kuachiliwa. Battle Royale pia imekuwa ya kufana na kupendwa sana na wachezaji wa fortnite cheat
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Fortnite (mchezo wa video) kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.