![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/5/56/Flag_of_Haiti.svg/langsw-640px-Flag_of_Haiti.svg.png&w=640&q=50)
Haiti
From Wikipedia, the free encyclopedia
Haiti ni nchi kwenye kisiwa cha Karibi cha Hispaniola. Eneo la Haiti ni takriban theluthi moja ya Hispaniola yote. Sehemu kubwa ya kisiwa inaunda nchi jirani ya Jamhuri ya Dominika.
Ukweli wa haraka
| |||||
Kaulimbiu ya taifa: L'Union Fait La Force ("Umoja ni nguvu") | |||||
Wimbo wa taifa: La Dessalinienne | |||||
![]() | |||||
Mji mkuu | Port-au-Prince 18°32′ N 72°20′ W | ||||
Mji mkubwa nchini | Port-au-Prince | ||||
Lugha rasmi | Kifaransa na Krioli ya Haiti | ||||
Serikali Rais Waziri Mkuu |
Jamhuri Claude Joseph Ariel Henry | ||||
Uhuru kutoka Ufaransa |
1 Januari 1804 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
27,750 km² (ya 147) 0.7 | ||||
Idadi ya watu - Julai 2018 kadirio - 1982 sensa - Msongamano wa watu |
11,439,6461 (ya 85) 5,053,792 382/km² (ya 32) | ||||
Fedha | Gourde (HTG ) | ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC-5) (UTC-4) | ||||
Intaneti TLD | .ht | ||||
Kodi ya simu | +509
- |
Funga
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/1/14/Haiti_map.png/320px-Haiti_map.png)
Haiti ni nchi ya kwanza duniani ambako watumwa wenye asili ya Afrika walifaulu kukomesha utumwa na kujipatia uhuru kutoka Ufaransa mwaka 1804.
Haiti ni kati ya nchi maskini kabisa duniani na nchi maskini zaidi katika Amerika yote.