Port-au-Prince

From Wikipedia, the free encyclopedia

Port-au-Prince

Port-au-Prince ni mji mkuu wa Haiti mwenye wakazi milioni 2. Iko upande wa magharibi wa kisiwa cha Hispaniola katika hori ya Gonave.

Ukweli wa haraka Nchi ...
Jiji la Port-au-Prince
Nchi Haiti
Funga
Port-au-Prince inavyoonekana kwa ndege
Mahali pa Port-au-Prince katika Haiti

Mji ulianzishwa na Wafaransa mnamo 1749. Tangu 1770 ulikuwa mji mkuu wa koloni ya Ufaransa kiswani badala ya Cap-Haïtien. Baada ya mapinduzi ya Haiti ya 1804 ilikuwa mji mkuu wa Hati huru.

Siku hizi idadi kubwa ya wakazi huishi katika mitaa ya vibanda.


Makala hii kuhusu maeneo ya Bahari ya Karibi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Port-au-Prince kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Wikiwand in your browser!

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.

Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.