Henry Kendall
From Wikipedia, the free encyclopedia
Henry Way Kendall (9 Desemba 1926 ā 15 Februari 1999) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza atomu na mfumo wake. Mwaka wa 1990, pamoja na Jerome Friedman na Richard Taylor alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/sw/thumb/1/10/Tuzo_Nobel.png/320px-Tuzo_Nobel.png)
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/9/9e/Henry_Kendall_by_Tom_Frost_crop.jpg)