Ivica Vastić
From Wikipedia, the free encyclopedia
Ivica Vastić (alizaliwa 29 Septemba 1969) ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu wa Austria. Aliwahi kucheza timu ya taifa ya Austria.
Vastić ameichezea timu ya Taifa ya Austria tangu mwaka wa 1996. Vastić alicheza Austria katika mechi 50, alifunga mabao 14.[1]