tarehe From Wikipedia, the free encyclopedia
Tarehe 29 Septemba ni siku ya 272 ya mwaka (ya 273 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 93.
Ago - Septemba - Okt | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha sikukuu ya malaika wakuu Mikaeli, Gabrieli na Rafaeli, lakini pia kumbukumbu za watakatifu Eutiki wa Marmara, Ripsime na wenzake, Fraterno wa Auxerre, Siriaki wa Palestina, Lidwini wa Trier, Adariki, Morisi wa Carnoet, Yohane wa Dukla, Mikaeli wa Aozaraza na wenzake, Renato Goupil n.k.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 29 Septemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.