Jezi
From Wikipedia, the free encyclopedia
From Wikipedia, the free encyclopedia
Jezi (kutoka neno la Kiingereza "jersey") ni vazi au nguo linalovaliwa na wachezaji pindi wakiwa wanacheza uwanjani, hasa katika mchezo wa mpira wa miguu, mpira wa kikapu, mpira wa wavu na voliboli.
Pia inaweza kutumika kama sare katika nafasi nyingine mbalimbali.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Jezi kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.