Jina takatifu la YesuFrom Wikipedia, the free encyclopedia Jina takatifu la Yesu (kwa Kiebrania יֵשׁוּעַ, Yēšū́aʿ, Yeshua'; yaani "YHWH anaokoa", hivyo "Mungu Mwokozi") ni namna jina la Yesu linavyotajwa na wafuasi wake kwa heshima kubwa zaidi ya Mungu Baba. Kifupisho IHS juu ya altare kuu ya Kanisa la Yesu, Roma. Kifupisho hicho kinatumika pia juu ya mavazi na vifaa vya ibada.[1] Kilitokana na jina lake kwa Kigiriki ΙΗΣΟΥΣ, si katika maneno ya Kilatini Iesus Hominum Salvator, yaani Yesu Mwokozi wa Binadamu, kama ilivyosemekana. IHS, Montmorency, Ufaransa Math 1:18-21 katika nakala ya karne ya 11. IHS, malaika na taji la miba, Hostýn, Ucheki.
Jina takatifu la Yesu (kwa Kiebrania יֵשׁוּעַ, Yēšū́aʿ, Yeshua'; yaani "YHWH anaokoa", hivyo "Mungu Mwokozi") ni namna jina la Yesu linavyotajwa na wafuasi wake kwa heshima kubwa zaidi ya Mungu Baba. Kifupisho IHS juu ya altare kuu ya Kanisa la Yesu, Roma. Kifupisho hicho kinatumika pia juu ya mavazi na vifaa vya ibada.[1] Kilitokana na jina lake kwa Kigiriki ΙΗΣΟΥΣ, si katika maneno ya Kilatini Iesus Hominum Salvator, yaani Yesu Mwokozi wa Binadamu, kama ilivyosemekana. IHS, Montmorency, Ufaransa Math 1:18-21 katika nakala ya karne ya 11. IHS, malaika na taji la miba, Hostýn, Ucheki.