Josemaria Escriva (Barbastro, Hispania, 9 Januari 1902Roma, Italia, 26 Juni 1975) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki na mwanzilishi wa jumuia ambayo baada ya kifo chake ikawa jimbo lisilo na eneo la Opus Dei na shirika la kipadri la Msalaba Mtakatifu[1].

Thumb
Picha halisi ya Josemaría Escrivá de Balaguer y Albás (1966).
Thumb
Ngao ya Mt. Josemaría Escrivá

Alitangazwa na Papa Yohane Paulo II kuwa mwenye heri tarehe 17 Mei 1992 na mtakatifu tarehe 6 Oktoba 2002.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake, 26 Juni[2]

Tazama pia

Maandishi yake

  • Escrivá, Josemaría (2002), The Way, Leominster: Gracewing, ISBN 978-0-85244-566-2
  • Escrivá, Josemaría (1987), Furrow, Princeton: Scepter Publishers, ISBN 0-906138-13-2
  • Escrivá, Josemaría (2003), The Forge, Princeton: Scepter Publishers, ISBN 0-933932-56-1
  • Escrivá, Josemaría; Balaguer, Jose (2002), Conversations with Monsignor Josemaría Escrivá, Princeton: Scepter Publishers, ISBN 978-1-889334-58-5
  • Escrivá, Josemaría (1981), Friends of God, Princeton: Scepter, ISBN 0-906138-02-7
  • Escrivá, Josemaría (1982), Christ Is Passing by, Sydney: Little Hills Press, ISBN 0-933932-04-9
  • Escrivá, Josemaría (1989), In Love with the Church, Lincoln: London, ISBN 0-906138-26-4
  • Escrivá, Josemaría (2001), Holy Rosary, Princeton: Scepter, ISBN 1-889334-44-8

Tanbihi

Marejeo

Marejeo mengine

Viungo vya nje

Wikiwand in your browser!

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.

Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.