Orodha ya Watakatifu Wakristo

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Orodha ya Watakatifu Wakristo inataja kwa utaratibu wa alfabeti baadhi ya Watakatifu, yaani watu wanaoheshimiwa na madhehebu mbalimbali ya Ukristo kama vielelezo vya uadilifu wa Kiinjili.

Orodha hii inaonyesha pia kila mtakatifu huheshimiwa katika madhehebu gani.

Kanisa Katoliki linaheshimu watakatifu na wenye heri zaidi ya elfu kumi, kati yao Mapapa 78. Habari fupi za baadhi yao zinatunzwa katika kitabu rasmi kinachoitwa Martyrologium Romanum.

Katika Makanisa ya Kiorthodoksi na ya Waorthodoksi wa Mashariki idadi ni kubwa zaidi kwa vile hakuna kanuni za kutangaza watakatifu kama zile zinazofuatwa na Papa, ambaye amejiwekea mamlaka hiyo tangu Karne za Kati. Hapa wameorodheshwa wanaoheshimiwa walau na Kanisa moja wa kundi lake. Habari fupi za baadhi yao zinatunzwa katika kitabu kinachoitwa Synaxarion.

Waanglikana walimtangaza mtakatifu mmoja tu (Mfalme Charles I wa Uingereza), lakini wanawatambua watakatifu wengine waliotangazwa kuwa watakatifu, hasa kabla ya Matengenezo ya Kiprotestanti, kama wanavyofanya Walutheri na Wamethodisti. Madhehebu hayo na mengineyo yana marehemu wengine ambao bila kutangazwa rasmi wameingizwa katika kalenda ya watakatifu katika nchi moja au zaidi.

Remove ads

Orodha

A

Maelezo zaidi Mtakatifu, Waanglikana ...

B

C

D

E

F

G

H

I

J

K

L

M

N

O

P

Q

R

S

T

U

V

W

Y

Z

Maelezo zaidi Mtakatifu, Waanglikana ...
Remove ads

Tazama pia

Remove ads

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads