Kazakhstan
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kazakhstan ni nchi ambayo kwa kiasi kikubwa iko katika Asia ya Kati.
Ukweli wa haraka
| |||||
Kaulimbiu ya taifa: | |||||
Wimbo wa taifa: Kazakhstan yangu | |||||
Mji mkuu | Nursultan 51°10′ N 71°30′ E | ||||
Mji mkubwa nchini | Almaty | ||||
Lugha rasmi | Kikazakh, Kirusi | ||||
Serikali Rais Waziri Mkuu |
Jamhuri Kassym-Jomart Tokayev (Қасым-Жомарт Тоқаев) Oljas Bektenov (Олжас Бектенов) | ||||
Uhuru Ilitangazwa ilikamilika |
16 Desemba 1991 25 Desemba 1991 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
2,724,900 km² (ya 9) 1.7 | ||||
Idadi ya watu - July 2015 kadirio - 1999 sensa - Msongamano wa watu |
17,563,300[1] (ya 62) 14,953,100 5.94/km² (ya 227) | ||||
Fedha | Tenge ya Kazakhstan (KZT ) | ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC+5 to +6) (UTC) | ||||
Intaneti TLD | .kz | ||||
Kodi ya simu | +7
- |
Funga
Imepakana na Urusi, China, Kirgizstan, Uzbekistan na Turkmenistan.
Mji mkuu ni Astana (mwaka 2019 jina lake limekuwa Nursultan); Almaty ilishika nafasi hiyo hadi 1996.