Kimalayalam
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kimalayalam ni lugha ya Kidravidi nchini Uhindi na Singapur inayozungumzwa na Wamalayalam. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kimalayalam nchini Uhindi imehesabiwa kuwa watu milioni 33. Pia kuna wasemaji 26,300 nchini Singapur. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimalayalam iko katika kundi lake lenyewe la Kimalayalam.