![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/b/b9/Clausura.jpg/640px-Clausura.jpg&w=640&q=50)
Klausura
From Wikipedia, the free encyclopedia
Klausura (kutoka Kilatini "clausura", yaani "ufungizi"; kwa Kiingereza "cloister"[1]) ni eneo la nyumba ya watawa ambamo watu wa nje hawawezi kuingia bila kutimiza masharti maalumu.
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/b/b9/Clausura.jpg/640px-Clausura.jpg)
Maelezo zaidi Imani, Muundo ...
Funga
Mara nyingine katika monasteri za kike taratibu hizo zinazuia pia watawa wasitoke nje bila sababu kubwa.