KlerksdorpFrom Wikipedia, the free encyclopedia Klerksdorp ni mji wa Afrika Kusini katika jimbo la Kaskazini-Magharibi. Mwaka 2011 wakazi wake walihesabiwa kuwa 186,515[1].
Klerksdorp ni mji wa Afrika Kusini katika jimbo la Kaskazini-Magharibi. Mwaka 2011 wakazi wake walihesabiwa kuwa 186,515[1].