Lituanya
nchi katika Ulaya Kaskazini-Mashariki / From Wikipedia, the free encyclopedia
Lituanya (au Lituania) ni nchi huru iliyoko Kaskazini Mashariki mwa Ulaya. Inajulikana rasmi kama Jamhuri ya Lituania.
Ukweli wa haraka
| |||||
Kaulimbiu ya taifa: Tautos jėga vienybėje! "Nguvu ya Taifa ni Umoja!" | |||||
Wimbo wa taifa: Tautiška giesmė | |||||
Mji mkuu | Vilnius 54°40′ N 25°19′ E | ||||
Mji mkubwa nchini | Vilnius | ||||
Lugha rasmi | Kilituanya | ||||
Serikali | Jamhuri, serikali ya kibunge Gitanas Nausėda Ingrida Šimonytė | ||||
Uhuru Ilitangazwa Ilitangazwa Ilikubaliwa |
16 Februari 1918 11 Machi 1990 6 Septemba 1991 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
65,303 km² (ya 123) 1,35% | ||||
Idadi ya watu - 2016 kadirio - 2011 sensa - Msongamano wa watu |
2,859,709 (ya 141) 3,043,429 45/km² (ya 120) | ||||
Fedha | Euro (EUR ) | ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
EET (UTC+2) EEST (UTC+3) | ||||
Intaneti TLD | .lt1 | ||||
Kodi ya simu | +370
- | ||||
1 Pia .eu pamoja na nchi za Umoja wa Ulaya |
Funga
Inapakana na Latvia, Belarus, Polandi na Russia.
Ni mwanachama wa Umoja wa Ulaya.