Majadiliano ya kiekumeni kuhusu Maria
From Wikipedia, the free encyclopedia
Majadiliano ya kiekumeni kuhusu Maria yamefanyika kwa wingi kuanzia karne ya 20 kati ya madhehebu mbalimbali ya Ukristo yakifikia makubaliano yasiyotarajiwa awali, ingawa tofauti kubwa zinabaki hasa kati ya Wakatoliki na Waorthodoksi upande mmoja na Waprotestanti upande mwingine.[1]