From Wikipedia, the free encyclopedia
Manila ni mji mkuu wa Ufilipino kwenye kisiwa cha Luzon kando la Hori ya Manila. Pamoja na miji 16 mingine ni sehemu ya mkoa wa jiji la Metro Manila. Mji una wakazi milioni 1.6 na rundiko la mji wote takriban milioni 15.
Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Manila kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Jiji la Manila | |
Nchi | Ufilipino |
---|---|
Tovuti: www.manila.gov.ph |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.