From Wikipedia, the free encyclopedia
Mariamu alikuwa dada wa Aroni na Musa, wana wa Amram na Yokebed. Aliishi katika karne ya 13 KK.
Anatajwa katika vitabu vitatu vya Biblia (Kutoka, Hesabu na Mika).
Mariamu ni mwanamke wa kwanza kuitwa "nabii" na ndiye aliyeongoza mashangilio baada ya Mungu kuangamiza Wamisri katika maji ya Bahari ya Shamu (Kutoka 15:20-21).
Wimbo wake ni kati ya maandiko matakatifu ya kale zaidi.
Katika Kurani Bikira Mariamu anatajwa kama binti Amram.
Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mariamu (dada wa Musa) kama habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.