Dada

From Wikipedia, the free encyclopedia

Dada
Remove ads

Dada ni jina ambalo linatumika tu kwa ndugu wa jinsia ya kike tu.

Thumb
Mabinti Benzon walivyochorwa na Peder Severin Krøyer.

Jina hilo laweza kutumika kuanzia kwa mtoto mwenye umri mdogo hadi mkubwa, bali hutumika pia kuonyesha heshima kwa mwanamke mkubwa.

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads