Marko mkaapweke
From Wikipedia, the free encyclopedia
Marko mkaapweke ni kati ya Wakristo walioishi vizuri imani yao kwa kutawa katika karne ya 5[1].
Kwa kuwa hayajulikani mengine mengi kuhusu historia yake, haorodheshwi tena na Martyrologium Romanum.
Pia aliandika vitabu vingi kuhusu maisha ya kiroho ambamo anaonekana kumfuata Yohane Krisostomo.
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.