Mbulu (mji)
From Wikipedia, the free encyclopedia
Mbulu ni mji ambao unaunda Wilaya ya Mbulu Mjini katika Mkoa wa Manyara, Tanzania. Hadi mwaka 2012 mji wote ulihesabiwa kama kata moja [1] Katika sensa ya mwaka 2022 wazazi walihesabiwa 138,593 [2].
Ukweli wa haraka Nchi, Mkoa ...
Mbulu mjini | |
Mahali pa Mbulu mjini katika Tanzania |
|
Majiranukta: 3°51′22″S 35°32′37″E | |
Nchi | Tanzania |
---|---|
Mkoa | Manyara |
Wilaya | Mbulu Mjini |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 138,593 |
Funga
Takriban asilimia 70-80 za wakazi ni Wairaqw.[3]
Kuna makao makuu ya Jimbo Katoliki la Mbulu la Kanisa Katoliki.
Wakati wa koloni la Afrika ya Mashariki ya Kijerumani mazingira haya yalijulikana kwa jina "Umbulu" ukawa na ofisi ndogo ya mkoa wa Arusha wa Wajerumani. Wakati ule Mapadre Weupe walijenga hapa kituo kilichoitwa "Neu-Trier" yaani Trier Mpya.