Miami
From Wikipedia, the free encyclopedia
Miami ni mji wa Marekani katika jimbo la Florida mwenye wakazi 480,00 na pamoja na rundiko la jiji ni takriban milioni 2.2 katika eneo lake. Mji upo m 2 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Ukweli wa haraka Nchi, Jimbo ...
Jiji la Miami | |||
| |||
Mahali pa mji wa Miami katika Marekani |
|||
Majiranukta: 25°47′16″N 80°13′27″W | |||
Nchi | Marekani | ||
---|---|---|---|
Jimbo | Florida | ||
Wilaya | Miami-Dade | ||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 362,470 | ||
Tovuti: www.ci.miami.fl.us |
Funga
Mji ulianzishwa mwaka 1896 ukiwa na wakazi 300 pekee. Ukakua sana baada ya vita kuu ya kwanza ya dunia. Baada ya mapinduzi ya Fidel Castro katika Kuba ulipokea wakimbizi wengi kutoka kisiwa kile na kuwa kitovu cha utamaduni wenye lugha ya Kihispania katika Marekani.
Sehemu muhimu ya uchumi ni utalii.