Mikoa ya Benin
From Wikipedia, the free encyclopedia
Mikoa ya Benin ni migawanyiko ya kiutawala ya ngazi ya juu katika nchi ya Benin. Nchi imegawanywa katika mikoa 12 (kwa Kifaransa: départements ), ilhali mikoa imegawanywa katika manispaa 77 (communes).
Hadi mwaka 1999, nchi ilikuwa na mikoa sita ambazo ziligawanywa na kuunda 12 ya sasa.
Maelezo zaidi Mkoa, Makao makuu ...
Mkoa | Makao makuu[1][2] | Wakazi (2013) | Eneo (km2)[3] | Mkoa
wa awali |
Kanda | Kanda ndogo | |
---|---|---|---|---|---|---|---|
2 | Alibori | Kandi | 868,046 | 26,242 | Borgou | Kaskazini | Kaskazini mashariki |
1 | Atakora | Natitingou | 769,337 | 20,499 | Atakora | Kaskazini | Kaskazini magharibi |
10 | Atlantique | Allada | 1,396,548 | 3,233 | Atlantique | Kusini | Kusini kati |
4 | Borgou | Parakou | 1,202,095 | 25,856 | Borgou | Kaskazini | Kaskazini mashariki |
5 | Collines | Dassa-Zoumé | 716,558 | 13,931 | Zou | Kaskazini | Kaskazini kati |
6 | Kouffo | Aplahoué | 741,895 | 2,404 | Mono | Kusini | Kusini magharibi |
3 | Donga | Djougou | 542,605 | 11,126 | Atakora | Kaskazini | Kaskazini magharibi |
11 | Littoral | Cotonou | 678,874 | 79 | Atlantique | Kusini | Kusini kati |
9 | Mono | Lokossa | 495,307 | 1,605 | Mono | Kusini | Kusini magharibi |
12 | Ouémé | Porto-Novo | 1,096,850 | 1,281 | Ouémé | Kusini | Kusini mashariki |
8 | Plateau | Pobè | 624,146 | 3,264 | Ouémé | Kusini | Kusini mashariki |
7 | Zou | Abomey | 851,623 | 5,243 | Zou | Kaskazini | Kaskazini kati |
Funga