Miss UniverseMashindano ya Urembo ya Kimataifa / From Wikipedia, the free encyclopedia Miss Universe ni shindano la urembo la kimataifa lililoanza mwaka 1952. Mashindano haya yanapangwa na kampuni inayoitwa Miss Universe Organization, ambayo ipo nchini Marekani na Uthai [1].
Miss Universe ni shindano la urembo la kimataifa lililoanza mwaka 1952. Mashindano haya yanapangwa na kampuni inayoitwa Miss Universe Organization, ambayo ipo nchini Marekani na Uthai [1].