Batman (kifupi cha milima ya Bati Raman) ni jina la mkoa uliopo nchini Uturuki, ambao unajulikana sana kwa kuwa na Wakurdi wengi sana[1][2]. Upo mjini kusini-mashariki mwa Anatolia. Mkoa una idadi ya wakazi wapatao 500,000.

Ukweli wa haraka Maeneo ya Mkoa wa Batman nchini Uturuki, Maelezo ...
Mkoa wa Batman
Maeneo ya Mkoa wa Batman nchini Uturuki
Thumb
Maelezo
Kanda:Kanda ya Kusinimashariki ya Anatolia
Eneo:4694 (km²)
Idadi ya Wakazi518,020 TUIK 2007 (est)
Kodi ya Leseni:72
Kodi ya eneo:0488
Tovuti ya Gavanahttp://www.batman.gov.tr
Utabiri wa hali ya hewaturkeyforecast.com/weather/batman
Funga

Wilaya za mkoani hapa

Mkoa wa Batman umegawanyika katika wilaya 6 (mji mkuu umekoozeshwa):

Marejeo

Viungo vya Nje

Wikiwand in your browser!

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.

Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.