Mkoa wa Burdur
From Wikipedia, the free encyclopedia
Burdur ni jina la mkoa uliopo mjini kusini-magharibi ma nchi ya Uturuki. Mikoa inayopakana na mkoa huu ni pamoja na Muğla na Antalya kwa upande wa kusini, Denizli kwa upande wa magharibi, Afyon kwa upande wa kaskazini, na Isparta kwa upande wa mashariki mwa nchi. Mkoa unachukua eneo la kilomita za mraba zipatazo 6,887 na jumala ya wakazi takriban 246,134. Mji mkuu wake ni jiji la Burdur.
Ukweli wa haraka Maeneo ya Mkoa wa Burdur nchini Uturuki, Maelezo ...
Mkoa wa Burdur | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Burdur nchini Uturuki | |
Maelezo | |
Kanda: | Kanda ya Mediteranea |
Eneo: | 6,887 (km²) |
Idadi ya Wakazi | 246,134 TUIK 2007 (est) |
Kodi ya Leseni: | 15 |
Kodi ya eneo: | 0248 |
Tovuti ya Gavana | http://www.burdur.gov.tr |
Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/burdur |
Funga