Burdur
From Wikipedia, the free encyclopedia
Burdur (zamani ulikuwa ukiitwa Buldur), ni mji ulipo mjini kusini-magharibi mwa nchi ya Uturuki na ndiyo mjii mkuu wa Mkoa wa Burdur katika Uturuki. Mji upo katika pwani ya Ziwa Burdur. Mji unakadiriwa kuwa na wakazi wapatao 67,097 kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2007.[1]