Mkoa wa Mardin
From Wikipedia, the free encyclopedia
Mkoa wa Mardin (Kisyria: ܡܶܪܕܺܝܢ "Merdin" kwa kuhusina na lugha ya Kisemiti Kiarabu: ماردين , Mardīn au "Merdin" ) ni jina la mkoa uliopo nchini Uturuki, wenye wakazi takriban 745 778.[1] Awali idadi ya wakazi ilikuwa 835,173 kunako mwaka wa 2000[2].
Ukweli wa haraka Maeneo ya Mkoa wa Mardin nchini Uturuki, Maelezo ...
Mkoa wa Mardin | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Mardin nchini Uturuki | |
Maelezo | |
Kanda: | Kanda ya Kusinimashariki ya Anatolia |
Eneo: | 8,891 (km²) |
Idadi ya Wakazi | 745 778 TUIK 2007 (est) |
Kodi ya Leseni: | 47 |
Kodi ya eneo: | 0482 |
Tovuti ya Gavana | http://www.mardin.gov.tr |
Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/mardin |
Funga