Mnara wa taa wa Benghazi
Mnara wa taa uliopo Benghazi,Libya / From Wikipedia, the free encyclopedia
Mnara wa Taa wa Benghazi ni mnara wa taa unaotumika na unapatikana katika pwani ya nchini Libya ndani ya kitongoji cha eneo la Sidi Khrebish huko Benghazi .[1] Namba yake ya NGA ni 21508