Mnara wa taa wa São Sebastião
Mnara wa taa katika ngome eneo la pembe ya ghuba ya São Tomé, São Tomé and Príncipe / From Wikipedia, the free encyclopedia
Mnara wa taa wa São Sebastião ni mnara wa taa uliopo katika makumbusho ya São Sebastião yaliyoko kusini mashariki mwa nchi ya Ghuba ya Ana Chaves huko São Tomé[1]
Ulitengenezwa mnamo mwaka 1928.[2].
Mnara wa taa huo una urefu wa mita sita|6.
Urefu wa kitovu wa mnara huo ni mita 14.