Mto Sankuru
mto wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo / From Wikipedia, the free encyclopedia
Mto Sankuru ni tawimto la mto Kasai katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Urefu wake ni km 1,200 hivi[1], hivyo ni mrefu kuliko mito mingine inayochangia mto Kasai (karibu na Bena-Bendi, kwenye 4°17′S 20°25′E).