![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/9/92/Chronological_evolution_of_Egyptian_prehistoric_pottery_styles%252C_from_Naqada_I_to_Naqada_III.jpg/640px-Chronological_evolution_of_Egyptian_prehistoric_pottery_styles%252C_from_Naqada_I_to_Naqada_III.jpg&w=640&q=50)
Naqada
From Wikipedia, the free encyclopedia
Naqada ni mji uliopo magharibi mwa Mto Nile katika Gavana wa Qena, Misri. Upo kilomita 20 kutoka kaskazini mwa Luxor.Inajumuisha vijiji vya Tukh, Khatara, Danfiq, na Zawayda.Kutokana na sensa iliyofanyika mwaka 1960 inaonyesha ni moja ya maeneo yasiyokua na watu , ulikuwa na wakaaji 3,000 tu, wengi ni wenye imani ya kikristo [1]wanaotunza vipengele vya lugha ya Coptic hadi miaka ya 1930.[2]
![Mageuzi ya mitindo ya ufinyanzi kabla ya historia ya Misri, kutoka Naqada I hadi Naqada II na Naqada III.](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/9/92/Chronological_evolution_of_Egyptian_prehistoric_pottery_styles%2C_from_Naqada_I_to_Naqada_III.jpg/640px-Chronological_evolution_of_Egyptian_prehistoric_pottery_styles%2C_from_Naqada_I_to_Naqada_III.jpg)