Neele EckhardtFrom Wikipedia, the free encyclopedia Neele Eckhardt (alizaliwa 2 Julai 1992) ni Mjerumani anayeshiriki mchezo wa kuruka juu kutoka sehemu maalumu ya kuanzia[1]. Alishiriki kwenye Mashindano ya dunia katika Riadha ya wasichana warukao juu mwaka 2017. Neele Eckhardt mnamo mwaka 2018
Neele Eckhardt (alizaliwa 2 Julai 1992) ni Mjerumani anayeshiriki mchezo wa kuruka juu kutoka sehemu maalumu ya kuanzia[1]. Alishiriki kwenye Mashindano ya dunia katika Riadha ya wasichana warukao juu mwaka 2017. Neele Eckhardt mnamo mwaka 2018