Orso wa Aosta
From Wikipedia, the free encyclopedia
Orso wa Aosta (pia: Ours; karne ya 5 - 1 Februari 529) alikuwa mmonaki kutoka Ireland, padri mmisionari nchini Ufaransa, aliyeishia katika Valle d'Aosta, leo mkoa mdogo kuliko yote ya Italia.
Alipinga Uario.
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu, hasa siku ya kifo chake[1].