Papa Agapeto IIFrom Wikipedia, the free encyclopedia Papa Agapeto II alikuwa Papa kuanzia tarehe 10 Mei 946 hadi kifo chake mnamo Desemba 955[1]. Alitokea Roma, Lazio, Italia[2]. Papa Agapeto II. Jina lake la kuzaliwa halijulikani. Alimfuata Papa Marinus II akafuatwa na Papa Yohane XII.
Papa Agapeto II alikuwa Papa kuanzia tarehe 10 Mei 946 hadi kifo chake mnamo Desemba 955[1]. Alitokea Roma, Lazio, Italia[2]. Papa Agapeto II. Jina lake la kuzaliwa halijulikani. Alimfuata Papa Marinus II akafuatwa na Papa Yohane XII.