Papa Pius VIII
From Wikipedia, the free encyclopedia
Papa Pius VIII (20 Novemba 1761 – 30 Novemba 1830) alikuwa Papa kuanzia tarehe 31 Machi/5 Aprili 1829 hadi kifo chake. Alitokea nchi ya Italia[1]. Alitokea Cingoli, Italia[2].
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Francesco Saverio Castiglioni.
Alimfuata Papa Leo XII na kuvishwa taji la Kipapa tarehe 5 Aprili 1829. Akafuatwa na Papa Gregori XVI.