Papa Stefano IV
From Wikipedia, the free encyclopedia
Papa Stefano IV alikuwa Papa kuanzia tarehe 22 Juni 816 hadi kifo chake tarehe 24 Januari 817[1]. Alitokea Roma, Lazio, Italia[2].
Jina la baba yake lilikuwa Marinus (ambaye asichanganywe na Papa Marinus I aliyetawala 882-884).
Stefano IV alimfuata Papa Leo III akafuatwa na Papa Paskali I.